Thursday, 28 June 2012

Thursday, 21 June 2012

FIRST TOPIC ON CLUB NISHER

The frist topic this FRIDAY - 22/6/2012 On CLUN NISHER TALK SHOW on 99.2 N.Y.U RADIO ARUSHA at 5:00 P.M. Tutaongelea Mavazi ( Sehemu Ya Kwanza )... Je ni Kweli kwamba Mwanamke Anavaa Mavazi yake Ilikumtega mwanaume Kiakili/Kimapenzi au anavaa ili-kupendeza?? Au ni kweli kwamba Mwanaume Ndiye anayejiingiza Mtegoni Yeye Mwenyewe Kwa Kutafsiri Mavazi ya Mwanamke Vibaya?? SHIRIKI, NIPE JIBU LAKO.....


USIKOSE KUSIKILIZA "CLUB NISHER" IJUMAA HII KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI, N.Y.U. RADIO 99.2 ARUSHA"

Monday, 18 June 2012

CUB NISHER

Kutana Na NISHER BYBEE (LIVE) katika Show Mpya na ya Kijanja Iitwayo "CLUB NISHER" kutoka 99.2 N.Y.U Radio Arusha - Tanzania IJUMAA HII 22.6.12 Kuanzia Saa Kumi na Moja Jioni. Usikose

Sunday, 10 June 2012

"SITA OGOPA" MONICA FT. NISHER


Video Mpya ya Mdogo-wangu Monica Davie Mona ipo kwenye Final Finishing.... Itatoka tarehe 6 mwezi wa 7 mwaka huu 2012... Ngoma inaitwa "SITA OGOPA" MONICA FT. NISHER Imefanywa NISHER RECORS na Video imefanywa na NISHER ENTERTAINMENT.... Stay tuned - nisher.