Friday 23 September 2011

Nisher @ the Beat 120


Had soooooo Much Fun at Triple A Radio Station this Afternoon! History in the making Ladies and Gentlemen, would like to thank First of, God for having me Alive on this Earth, would like to thank my Parents, My Manager AJ in India, Borry Bthepilot, Hoster Of "the beat 120" Kenny for all the fun we had!! I believe this is not even the beginning, this is just a warm up! Love Y'all!!
   
Nisher with Borry BThePilot
Nisher with Victor Machota
Nisher with Kenny
Nisher with DJ Mac 


with Victor Machota

with DJ Askof
 The Interview
DJ: Unaweza ukanipa inshort about your music? coz nataka kupublish now kwenye blog?
Nisher: "Ok what would u like to know kuhusu my music?" 

DJ: Umeanza lini music,unaulbam au single ngapi? Zinaitwaje, ume release ipi na unamatarajio gani kwa baadae?
Nisher: "Music nimeanza toka nikiwa na umri wa miaka 7, lakini nikaanza kua serious zaidi mwaka 1998 hadi leo hii, hii ni baada yakumfahamu na kuvutiwa na mwanamuziki wa kimarekani Usher Raymond IV ... Album iko jikoni... Nyimbo zangu natunga nakuandika mwenyewe pamoja na kuziproduce kwenye Studio yangu "Nisher Records" chini ya "Nisher Entertainment", Nilitoka na single iitwayo "Nisher" lakini saivi nimekuja na track inaitwa "Boyfriend"
Nategemea kujakuwa Icon Wa Tanzania kama mwana muziki, Mwana Mitindo na Mwingizaji filamu.... Nataka kuacha alama yangu katika nchi hii na nje! Napenda kujulikana badae kama mtu aliye badili ama kugeuza soko la Mziki wa Tanzania!"
 
DJ: Ok! Style yako kido iko kama unique hapa bongo, je unahisi unakompetition na wasanii gani wa hapa bongo?
Nisher: "Nadhani kwa habari ya competition siwezi kujua sana manake spendi kujifanya mjuaji, wanamuziki na ma Mc wanazaliwa kwa sekunde bongo, sio kwa dakika...Hivyo nawaachia mashabiki waamue nani mkali!"

DJ: Katika video yako tutegemee sura zipi,na itafanyikia katika mazingira yapi?...producer?
Nisher: "Kwanza video yangu ya kwanza ntaidirect mwenyewe, nataka kufanya kitu kipya kwa habari ya Mwonekano, nataka kutoa kitu ambacho hakija zoeleka Tanzania! Ningependa Marafiki zangu Mastar mbali mbali wawepo kwenye video hiyo!"

DJ: Mastaar kama??
Nisher: "Bado Sjaamua, Lakini ningependa kama angekuwepo, AY, Mwana FA, Lamar (Fish Crab), Ngwea, Chidi Benz nawengine Kibao! Pia mastar wa Movie.... Nataka Video yangu isiwe tu kuhusu muziki iwe ni Hadithi ya Kusimuliwa na kutazamwa hata miaka 10 baadae ..Staki kufanya kitu cha mpito kama waliopo saivi! Nataka kuweka historia ya kudumu miaka mingi! Nilijifunza kwa Baba yangu.... Kwangu mziki sio kazi ni Hobby tu, lakini tofauti nikwamba sitanii, nafanya kweli!"

DJ: Poa! Labda unachochote cha kuongeza kwa mashabiki wako?......... You have a girfrend or wyfe! hahaaa!!
Nisher: "Watanzani wajipange mana ndo nimeingia Rasmi! Video yangu itatoka Muda wowote kuanzia sasa hivi... Macho yote yawe facebook na kwenye Blog yangu... www.nisherthestar.blogspot.com"

DJ: Bilashaka umewahi kuwa nje ya +255, je unaona nini ambacho kinakwamisha game letu la mziki kuendelea kudidimia tofauti na nchi nyingine?
Nisher: "Yap nimesha safiri nchi nyingi, nimekua America, South Africa, Egypt, UAE (Dubai) na Europe.... Tatizo letu kubwa au dogo nikwamba hatu taki ku-Push the limits za kimuziki... Tanzania imeridhika na kinachoitwa 'bongo fleva' na kusahau kwamba ushindani niwa-dunia nzima sio hapa nyumbani tu! Ndomana watu kama mimi na wenzangu kama Lamar (fish crab) tunataka kubadilisha Game ilikuongeza ushindani na ufanisi zaidi!
 
"Utanitumia jina la blog yako iliniirushe kwenye post zangu washkaji waicheck au vip?"
 
DJ: Pamoja mzazi!
Nisher: "Pa1 bro!!"

DJ: Pouuwa!
Namengine zaidi yatakujia hivi karibuni so stay tune!!!!!!!!