Wednesday, 29 August 2012

WORKING BEHIND THE SCENES


Ninapo Fanya Kazi Ya Mtu iwe ni Music Video/ Music Production/ Film au Radio/Tv Commercials, Sipendi Kulipua Kazi... Kwasababu Najua Mwisho wa siku Kazi Hiyo Sio tu Itabeba Jina La Mteja Bali Pia Itabeba Jina La Brand yangu (NISHER) so Bora Nikikubali Kufanya Kazi Na Mtu Niifanye sio tu yeye Afurahi Bali Hata Mimi Nifurahi.


Napenda Kumshukuru Sana Sana Sana Assistant wangu Kwenye Company Yangu Ya NISHER ENTERTAINMENT, Mister Allan Elias Maole Kwa Kuni-support Na Kwa Kuelewa Kazi yake na pia kwa kuniheshimu Kwaviwango Vya Juu sana Japo Yeye Ni mkubwa sana Kiumri Kunizidi... Tumesoma wote na Kufahamiana sasa Kwa miaka 18.


Siku Hizi Kila Mtu Mwenye DSLR Camera Anadhani Anaweza Kuwa Director Wa Videos, Photos Or Movies... IT TAKES A LOT OF TIME AND KNOWLEDGE MY FRIEND... Imenigharimu mimi NISHER Miaka 12 Kujua Mambo Ya Video Directing/Films/Television/Acting na Commercials Na bado Najifunza Mpaka Kesho.
 
 
Kwenye Music Video Ya Willy Fololo ( Maisha Ya Kirasta - http://youtu.be/g9kto4UsFQw?hd=1) Kuna SCENE alikua Anafungua Refrigerator Yake Iliachukue Kitu Cha Kula ... Iliazimu Niingize Camera Yangu Ndani Ya hiyo Frige ili-akifungua huo Mlango wa Fridge ionekani Kitu Cha ukweli... Badala yakutegemea Effects Kwenye Editing - Director NISHER.
 
 
Nisher Working on A New Music Video With Shah Bang - (Behind The Scenes) We had a Number of People, such as, Masebo Jon Wema Working as (Director DP), Tony Knowledgez (Assistance & Cameo Roll), Allan Elias Maole (Directors Assistant / Stunt Organizer), Gentriez Mwakitabu (Cameo Roll) And Misc People From The Crowd... Music Video Coming This September (Maisha ya Ujana Shah Bang Ft. Nisher) http://www.reverbnation.com/open_graph/song/13841637
 
 
 

 
 
 

Tuesday, 14 August 2012

NASHUKURU

Namshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Mafanikio niliyo nayo leo Bila yeye Mimi na wewe S
io Kitu!.....Napenda Kuwashukuru sana WADAU Wangu WOOOOOTEEE kwenye MEDIA ZOOOOTE TZ na NJE ya TZ.... BILA NYIE Kazi yangu ni BURE na Ni-Sifuri, Nyie Ndio Mlonifanya nijiamini zaidi, wakati wengine walipokua wananiambia ni badilishe style ya music nnayofanya nakunikatisha tamaa kwamba sitafika kokote kwenye Game.........Na huu Ni mwanzo Tu sijatoa hata Video Yangu Binafsi lakini Fukuto linasikika na kuonekana!! You Are The Best Y'all... Thanks For Your Unconditional Support!! I SALUTE MY MANAGEMENT, I SALUTE MY INCREDIBLE FANS, I SALUTE ALL THE DJ's, I SALUTE ALL THE RADIO AND TV PRESENTERS, ALL THE NEWS, MAGAZINE's AND BLOG WRITERS ..... I SALUTE ALL OF YOU.....But MOST OF ALL I SALUTE MY DAD BECAUSE HE POWERED ME FROM THE START TO DO WHAT I DO & LOVE TODAY!!!! I SALUTE YOU.........Party Iendeleeee - Nisher