Saturday 28 April 2012

No.1...thanks to my fans


To my fans,

Much love and appreciation for believing in my talent and for listening to my music, coz of your support I'm NO.1 on the list above.

Thanks y'all.

Nisher

Saturday 21 April 2012

COMING SOON


KWA WASANII WOTE WA ARUSHA


Kuna Wasanii Wengi sana Arusha ambao wanatamani kuingia Studio kwangu niwasaidie, Hii ni ikiwemo Wasanii wa HIP-HOP..... Wengi wanaomba kuakwenye LABEL ya NISHER ENTERTAINMENT kabla hata hawaja Jua Bei za Recording.... Nikawaza MFUMO rahisi wakuwasaidia Hawa wasanii... kwa kawaida huwanafanya Track 1 kwa 250,000.... Sasa baada ya wasanii wengi wadogo kunijia wakiniomba msaada niwasaidie Track BURE nikaona bora niwape kiwango watakachoweza kukimudu vema Kuliko ikiwa bure kabisa, Kwasababu hii ni kampuni.... Kwahivyo Msanii wa chini sasa anaweza Kupata Track 1 hapa NISHER RECORDS kwa Shilingi 50,000 Tu, hii ni ilikusaidia wale wasanii wachanga na wasiojulikana lakini wanavipaji vikubwa na hawana uwezo mkubwa kifedha tofauti na wengine wetu wenye uwezo wakulipa hiyo shilingi 250,000 kwa track 1...."ITS BETTER THAN NOTHING" natumaini nitakuwa nimewasaidia wasanii wengi kwanjia hii!! Nataka Niwape Moyo wasanii Wa ARUSHA kwamba msikate Tamaa ya kuingia Studio nakutoa ulicho nacho... Studio Zinakua na Gharama sana Kuziendesha Kwahivyo Ni vizuri kuchangia hiyo 50,000 iliuwezeke kusaidiwa kuliko Kutaka BURE tu ama Kuwa Kwenye Label.....Kuingia tu Kwenye Label SIO mchezo!!! inagharimu Uvumilivu Mkubwa na Sanaa Ya hali Ya Juu sana Mpaka Ukubalike Kwenye LABEL ya NISHER ENTERTAINMENT - Nisher 0785 95 95 99