Tuesday 14 August 2012

NASHUKURU

Namshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Mafanikio niliyo nayo leo Bila yeye Mimi na wewe S
io Kitu!.....Napenda Kuwashukuru sana WADAU Wangu WOOOOOTEEE kwenye MEDIA ZOOOOTE TZ na NJE ya TZ.... BILA NYIE Kazi yangu ni BURE na Ni-Sifuri, Nyie Ndio Mlonifanya nijiamini zaidi, wakati wengine walipokua wananiambia ni badilishe style ya music nnayofanya nakunikatisha tamaa kwamba sitafika kokote kwenye Game.........Na huu Ni mwanzo Tu sijatoa hata Video Yangu Binafsi lakini Fukuto linasikika na kuonekana!! You Are The Best Y'all... Thanks For Your Unconditional Support!! I SALUTE MY MANAGEMENT, I SALUTE MY INCREDIBLE FANS, I SALUTE ALL THE DJ's, I SALUTE ALL THE RADIO AND TV PRESENTERS, ALL THE NEWS, MAGAZINE's AND BLOG WRITERS ..... I SALUTE ALL OF YOU.....But MOST OF ALL I SALUTE MY DAD BECAUSE HE POWERED ME FROM THE START TO DO WHAT I DO & LOVE TODAY!!!! I SALUTE YOU.........Party Iendeleeee - Nisher




No comments:

Post a Comment