The frist topic this FRIDAY - 22/6/2012 On CLUN NISHER TALK SHOW on 99.2 N.Y.U RADIO ARUSHA at 5:00 P.M. Tutaongelea Mavazi ( Sehemu Ya Kwanza )... Je ni Kweli kwamba Mwanamke Anavaa Mavazi yake Ilikumtega mwanaume Kiakili/Kimapenzi au anavaa ili-kupendeza?? Au ni kweli kwamba Mwanaume Ndiye anayejiingiza Mtegoni Yeye Mwenyewe Kwa Kutafsiri Mavazi ya Mwanamke Vibaya?? SHIRIKI, NIPE JIBU LAKO.....
USIKOSE KUSIKILIZA "CLUB NISHER" IJUMAA HII KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI, N.Y.U. RADIO 99.2 ARUSHA"
USIKOSE KUSIKILIZA "CLUB NISHER" IJUMAA HII KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI, N.Y.U. RADIO 99.2 ARUSHA"
No comments:
Post a Comment